Tenzi za Rohoni

99.Maelfu Na Maelfu

Maelfu na maelfuWenye nguo bora!Masafu ya waongofuWenye na bendera!Amekwisha kamiliVita vya shetaniFungueni lango hili;Njoni, ingieni! Imbeni aleluya,Zipae Mbinguni!Pigeni sana sautiKwa

Tenzi za Rohoni

11.Nina haja nawe

Nina haja naweKila saa;Hawezi mwingineKunifaa. Yesu, nakuhitajiVivyo kila saa!Niwezeshe, Mwokozi,Nakujia. Nina haja nawe;Kaa nami,Na maonjo haya,Hayaumi. Nina haja nawe;Kila hali,Maisha

Tenzi za Rohoni

90.Aliteswa, Aliteswa

Aliteswa, aliteswa,Msalabani Yesu aliteswa,Dhambi zangu ameziondoa,Mahali pangu aliumizwa. Alikufa, alikufa,Msalabani Yesu alikufa,Kwa kifo chake nakombolewa,Kwa kuwa Yesu alinifia. ’Kafufuka, ‘kafufuka,Kaburini

Tenzi za Rohoni

62.Bwana Wa Mabwana

Bwana wa mabwana,Mwenye nguvu sanaTwakusihi:Neno la mileleNa liende mbele,Waongoke teleKwa Mwokozi. TunaowaonaWanavyopatana,Kulipinga,HawataliwezaNeno, kulitweza:Huwaje! Kucheza:Na upanga? Heri wajitunzeIli wapatane,Na Mwokozi;Watafute sana,Wapate

Scroll to Top