10.Usinipite!
Usinipite Mwokozi,Unisikie;Unapozuru wengine,Usinipite. Yesu,Yesu,Unisikie;Unapozuru wengine,Usinipite. Kiti chako cha rehema,Nakitazama;Magoti napiga pale,Nisamehewe. Sina ya kutegemea,Ila Wewe tu;Uso wako uwe kwangu;Nakuabudu. U […]
Usinipite Mwokozi,Unisikie;Unapozuru wengine,Usinipite. Yesu,Yesu,Unisikie;Unapozuru wengine,Usinipite. Kiti chako cha rehema,Nakitazama;Magoti napiga pale,Nisamehewe. Sina ya kutegemea,Ila Wewe tu;Uso wako uwe kwangu;Nakuabudu. U […]
Nipe moyo wenye sifaSio wa utumwa;Moyo ulionyunyizwaDamu ya thamani. Moyo msikizi, moyoWa kunyenyekea,Moyo utawaliwaoNa Mwokozi pia. Mwenye kutubu, mnyonge,Sadiki, amini;Kamwe,
Yote namtolea YesuNampa moyo wote,Nitampenda siku zote,Namwandama kila saa. Yote kwa Yesu,Yote kwa Yesu,Yote kwako, Ee mwokozi,Natoa sasa. Yote namtolea
Peleleza ndani yangu,Iwe safi nia,Kwangu kama kwako Mungu,Idhihiri pia. Peleleza moyo wanguUunifunulie,Yaliyomo ndani yanguNami niyajue. Kwanza washe zako tambi,Kumefunga giza;Nijue
Twende kwa Yesu mimi nawe,Njia atwonya tuijueImo Chuoni; na Mwenyewe,Hapa asema, Njoo! Na furaha tutaiona,Mioyo ikitakata sana,Kwako, Mwokozi, kuonana,Na milele
Niwonapo mti boraKristo aliponifiaKwangu pato ni hasaraKiburi nakichukia. Na nisijivune, BwanaIla kwa mauti yako;Upuzi sitaki tena,Ni chini ya damu yako.
Deni yangu ya dhambi,Yesu amelipa.Kwake msalabaniNilipewa uzima. Deni ya dhambi,Msalabani,Ilimalizikia,Ni huru kabisa. Bwana Yesu asema,“Mwanangu dhaifu,Uwezo wa ushindiHupatikana kwangu.” Bwana,
Huyo ndiye! anaskuka,Aliyetufilia,Wengi waliookoka,Wakimfurahia,Aleluya!Yesu aturudia. Sote tutamtazama,Amekaa kitini,Nao waliomcoma,Kumkaza mtini,Na kilio, wamuone enzini. Alama za kifo chakeHata sasa anazoNa waaminifu
1. Ni tabibu wa karibu; Tabibu wa ajabu; Na rehema za daima; Ni dawa yake njema. Chorus: Imbeni, malaika, Sifa
Bwana Yesu atakuja, Vumilia!Omba, ukiwa na haja, Vumilia!Mbingunu Mungu aliko, Mwamini Mwokozi wako,Nawe utafika huko, Vumilia! Ikikucheka dunia, Vumilia!Mwovu atakuvizia,