4.Jina La Yesu Salamu!
Jina la Yesu, Salamu!Lisujudieni,Ninyi Mbinguni, hukumuNa enzi mpeni. Enzi na apewe kwetu,Watetea dini;Mkuzeni Bwana wenu,Na enzi mpeni. Enyi mbegu ya […]
Jina la Yesu, Salamu!Lisujudieni,Ninyi Mbinguni, hukumuNa enzi mpeni. Enzi na apewe kwetu,Watetea dini;Mkuzeni Bwana wenu,Na enzi mpeni. Enyi mbegu ya […]
Yesu unipendayeKwako nakimbilia,Ni wewe utoshaye,Mwovu akinijia;Yafiche ubavuni,Mwako maisha yangu;Nifiikishe mbinguniWokoe moyo wangu. Ngome nyingine sina;Nategemea kwako.Usinitupe Bwana ,Nipe neema yako,NinakuamaniaMwenye
Taji mvikeni,Taji nyingi tena,Kondoo mwake kitini,Bwana wa mabwana;Name tamsifuAlikufa kwangu,Ni mfalme mtukufu,Mkuu wa Mbingu. Taji mvikeniMwana wa bikira;Anazovaa kichwaniAliteka nyara;Shiloh
Ni wako wewe, nimekujua,Na umeniambia;Lakini Bwana, nataka kwako nizidi kusongea. Bwana vuta, vuta, nije nisongee,Sana, kwako mtini.Bwana vuta, vuta, nije
Usinipite Mwokozi,Unisikie;Unapozuru wengine,Usinipite. Yesu,Yesu,Unisikie;Unapozuru wengine,Usinipite. Kiti chako cha rehema,Nakitazama;Magoti napiga pale,Nisamehewe. Sina ya kutegemea,Ila Wewe tu;Uso wako uwe kwangu;Nakuabudu. U
Twendeni! Haraka! Tupeleke NenoLiwe mwanga kwa nchi zilizo giza.Bwana alisema nendeni po poteKawafundisheni mataifa yote.Pelekeni Injili kwa jina la Yesu.Upesi!
Nimekombolewa na YesuAliyenirehemia;Kwa bei ya mauti yakeNimekuwa mtoto wake. Kombolewa!Nakombolewa na damu;Kombolewa!Mimi mwana wake kweli. Kukombolewa nafurahi,Kupita lugha kutamka;Kulionyesha pendo
Twae wangu uzima,Sadaka ya daima;Twae saa na siku,Zikutukuze huku. Twae mikono nayoIfanye upendavyo,Twae yangu miguuKwa wongozi wako tu. Twae sauti
Waimba, sikizeni,Malaika Mbinguni;Wimbo wa tamu sanaWa pendo zake Bwana,“Duniani salama,Kwa wakosa rehema.”Sisi sote na twimbeNao wale wajumbe;Waimba, sikizeni,Malaika mbinguni. Ndiye
Sioshwi dhambi zangu,Bila damu yake Yesu.Hapendezewi Mungu,Bila damu yake Yesu. Hakuna kabisaDawa ya makosaYa kututakasa,Ila damu yake Yesu. La kunisafi