Tenzi za Rohoni

40.Nasikia Kwitwa

Nasikia kwitwaNa sauti yakoNikasafiwe kwa damuYa kwangikwa kwako. Nimesogea Mtini pako,Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako. Ni mnuonge kweli,Umenipa nguvu,Ulivyonisafi

Tenzi za Rohoni

5.Jina lake Yesu tamu

Jina lake Yesu tamu;TukilisikiaHutupoza, tena hamuHutuondolea. Roho iliyoumiaKwalo hutibika,Chakula, njaani pia;Raha, tukichoka. Jina hili ni msingi,Ngao, ngome, mwamba,Kwa hili napata

Tenzi za Rohoni

41. Yesu Aliniita

Yesu aliniita, “njoo,Raha iko kwangu,Kichwa chako ukilazeKifuani mwangu.” Nilikwenda kwake mara,Sana nilichoka;Nikapata kwake raha,Na furaha tena. Yesu aliniita, “njoo,Kwangu kuna

Tenzi za Rohoni

93.Bwana Amefufuka

Bwana amefufuka, Aleluya.Twimbe na malaika, Aleluya.Sifa zetu na shangwe, Aleluya.Na zao zisitengwe, Aleluya. Ukombozi timamu, Aleluya.Umetimu kwa damu, Aleluya.Mshindi asifiwe,

Tenzi za Rohoni

63.Ndugu wa kirohoni

Ndugu wa kirohoniMliokombolewa,Tafakarini sanaYatupasayo. Wapenzi wake YesuTuliokombolewaTujitoe kabisaWengi waponywe. Siku itatimiaTutakapoulizwaWale wa nyumba zetuNa majirani Tujitoeni, ndugu,Tukahubiri Injili.Atutumie Rohokuponya wengi.

Tenzi za Rohoni

2.Twamsifu Mungu

Twamsifu Mungu kwa Mwana wa Pendo,Aliyetufia na kupaa juu. Aleluya! Usifiwe; Aleluya! Amin.Aleluya! Usifiwe, utubariki. Twamsifu Mungu kwa Roho Mtukufu,Ametufunulia

Scroll to Top