125. Ati Twonane Mtoni?
Shall We Gather at the River? 1. Ati twonane mtoni? Maji mazuri ya mbingu; Yanatokea mwangani, Penye kiti cha Mungu. […]
Shall We Gather at the River? 1. Ati twonane mtoni? Maji mazuri ya mbingu; Yanatokea mwangani, Penye kiti cha Mungu. […]
There is a Happy Land 1. Ni mji mzuri, Mbali sana; Watu wanawiri Kama jua; Waimba kwa tamu, Tuna mwema
Seeking the lost 1 . Kuwatafuta wasioweza, Kuomba wamrejee Yesu, Kuwaambia maneno yake “Njooni kwangu, nawapenda.” Chorus Nitakwenda, (kwenda), niwatafute
I gave my life for Thee 1. Nilikupa wewe Damu ya moyoni, Ili wokolewe, Winuke ufuni: Nimekunyimani? Umenipa nini? 2.
Lord, thy word abideth 1. Neno lako Bwana, Ni imara sana; Lilo latwongoza, Lilo latufunza. 2. Adui wabaya Wakikaribia, Neno
When my life work is ended 1. Kazi yangu ikiisha, nami nikiokoka; Na kuvaa kutokuharibika, Nitamjua Mwokozi nifkapo ng’amboni; Alakuwa
Precious Saviour 1. Yesu, Mulokozi wange; Lero nze wuwo wenka; Omusaigwo ganaziza. Yesu Mwana gwendiga, Omusaigwo gunaziza; Nkwebaza, Mulokozi. Chorus
In the sweet by-and-by 1. Nyimbo na tuziimbe tena, Za aliyotupenda mbele; Kwa damu ya thamani sana! Mbinguni hwonana milele.
Beneath the Cross of Jesus 1. Chini ya Msalaba Nalaka simama, Ndio mwamba safarini, Wa kivuli chema. 2. Hapa ni
Art thou weary, art thou languid? 1. Wewe umechoka sana? Wataka raha? Kwake Yesu utapata furaha. 2. Alama anazo yeye?