77.Msalabani Pa Mwokozi
Msalabani pa mwokozi,Hapo niliomba upozi,Akaniokoa mpenzi,Mwana wa Mungu. Mwana wa Mungu, Mwokozi wangu,Akaniokoa mpenzi, Mwana wa Mungu. Chini ya mti […]
Msalabani pa mwokozi,Hapo niliomba upozi,Akaniokoa mpenzi,Mwana wa Mungu. Mwana wa Mungu, Mwokozi wangu,Akaniokoa mpenzi, Mwana wa Mungu. Chini ya mti […]
Anipenda ni kweli;Mungu anena hili;Sisi wake watoto;kutulinda si zito. Yesu anipenda,Yesu anipenda,Kweli anipenda,Mungu amesema. Kwa kupenda akafaNiokoke na kufa;Atazidi taka,Sana
Baba, Mwana, Roho, Mungu mwenye enzi,Kila tukiamka tunakuabuduBaba, Mwana, Roho, Mungu wa mapenzi,Ewe Utatu, tunakusifu. Baba, Mwana, Roho, wakuaminioWanakutolea shukrani
Naweka dhambi zanguJuu yake BwanaKuziondoa, kwanguHulemea sana;Na uaili wanguAmeuondoa;Dawa yangu ni damu, Kwa hiyo napoa. Na uhitaji wanguNitamjuvishaKwa upungufu wanguYeye
Msalaba wa aibu,Ulinipa amani;Uliniondoa kifungoni,Nilimotesekea. Ee, Mwokozi wangu, YesuNitamwendea nani?Najiweka msalabani,Nikaoshwe damuni. Nakupenda Bwana Yesu,Kwa kunipenda kwako,Napendezwa nikutumikieMaisha yangu yote.
Kivulini mwa Yesu kuna Kituo:Kituo mbali na hamu, kituo kilicho tamu. Kivulini mwa Yesu kuna kituo;kivulini mwa Yesu kuna kituo;Raha
Yesu nataka kutakaswa sana,Nataka moyo uwe enzi yako.Ukiangushe kilichoinukaUnioshe sasa niwe mweupe. Mweupe tu, ndiyo mweupe,Ukiniosha nitakuwa safi. Bwaba Yesu,
Yesu kwa imani,Nakutumaini,Peke yako;Nisikie sasa,Na kunitakasa,Ni wako kabisaTangu leo. Nipe nguvu piaZa kusaidiaMoyo wangu;Ulikufa wewe,Wokovu nipeweNakupenda wewe,Bwana wangu. Hapa nazungukaKatika
WakosaYesu awakubali,Wakosa, wahalifu,Wambieni wa mbaliHabari ya wokovu. Tangazeni kwa bidii,“Akubali wakosa!”Liwe neno dhahiri,“Akubali wakosa!” Awakubali BwanaNeno lake aminiWatu kila ainaWaje
Yesu akwita, chanena Chuo:Uje leo, uje leo;Kwani kusita? Akwita, Njoo;Unatanga upeo. Hwita leo, hwita leo.Yesu akwita kwa upole akwita leo.