Tenzi za Rohoni

1.Mwokozi Umeokoa

Mwokozi umeokoa,Nimekuwa wako wewe.Damu imenisafisha;Sifa kwa mwana Kondoo. Utukufu, Aleluya!Sifa kwa Mwana Kondoo!Damu imenisafisha,Utukufu kwa Yesu! Nilijitahidi sanaIla sikupata raha;Bali […]

Tenzi za Rohoni

58.Mwamba Wenye Imara

Mwamba wenye imaraKwako nitajificha!Maji hayo na damuYaliyotoka humu,Hunisafi na dhambi,Hunifanya mshindi. Kwa kazi zote pia ,Sitimizi sharia.Nijapofanya bidii,Nikilia nakudhii,Hayaishi makosa;Ndiwe

Tenzi za Rohoni

22.Kale nilitembea

Kale nilitembeaNikilemewa dhambiNilikosa msaada,kuniponya mateso. Usifiwe Msalaba!Lisifiwe kaburi!Linalozidi yote,Asifiwe Mwokozi! Hata nilipofika,Mahali pa Msalaba,Palinifaa sana,Sitasahau kamwe. Hicho ndicho chanzo,Cha kufurahi

Tenzi za Rohoni

49.Nitwae Hivi Nilivyo

Nitwae hivi nilivyo,Umemwaga damu yako,Nawe ulivyoniita,Bwana Yesu,naja,naja. Hivi nilivyo;si languKujiosha roho yangu;Nisamehe dhambi zangu,Bwana Yesu,naja,naja. Hivi nilivyo; sioniKamwe furaha moyoni;Daima

Tenzi za Rohoni

57.Naendea Msalaba

Naendea Msalaba,Ni mnyonge na mpofu,Yapitayo naacha,Nipone Msalabani. Nakutumaini tu,Ewe Mwana wa Mungu;Nainamia kwako;Niponye, mponya wangu. Nakulilia sana:Nalemewa na dhambi;Pole Yesu

Scroll to Top