90.Aliteswa, Aliteswa
Wounded for me 1. Aliteswa, aliteswa, Msalabani Yesu aliteswa, Dhambi zangu ameziondoa, Mahali pangu aliumizwa. 2. Alikufa, alikufa, Msalabani Yesu […]
Wounded for me 1. Aliteswa, aliteswa, Msalabani Yesu aliteswa, Dhambi zangu ameziondoa, Mahali pangu aliumizwa. 2. Alikufa, alikufa, Msalabani Yesu […]
Spirit Divine attend our Prayers 1. Ewe Roho wa Mbinguni Uje kwetu sasa. Ufanye makazi yako Ndani ya Kanisa. 2.
I need Thee every hour 1. Nina haja nawe Kila saa; Hawezi mwingine Kunifaa. Chorus: Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa!
Beulah Land 1. Waitwa, mwovu, na Bwana Umwendee hima sana, Usafiwe dhambi zako, Humwoni ni mwema wako? Chorus: Unaitwa! Itika
The everlasting gospel 1. Bwama wa mabwana, Mwenye nguvu sana, Twakusihi: Neno la milele Na liende mbele, Waongoke tele Kwa
1. Dhambi ikikulemea, Kwa Bwana rehema; Hivi sasa tegemea Neno la salama. Chorus: Tegemea, tegemea, Akwita sasa. Ni Mwokozi, ni
Blessed be the fountain of blood 1. Ndiyo damu ya baraka, ituoshayo wakosa, Kwake Bwana twaokoka, nasi twamsifu sasa; Nimestahili
Since Jesus came into my heart 1. Tangu siku hiyo aliponijia, Akae moyoni mwangu, Sina giza tena, ila mwanga pia
Stand up, stand up for Jesus 1. Mteteeni Yesu, Mlilo askari; Inueni beramu, Mkae tayari, Kwenda naye vitani; Sisi hatuchoki
What a Friend we have in Jesus 1. Yesu kwetu ni rafiki, Hwambiwa haja pia; Tukiomba kwa Babaye Maombi asikia;