95.Hivi vita, vimekoma
Aleluya! Aleluya! Aleluya! Hivi vita vimekoma,Vimeshindwa na uzima,Na asifiwe daima,Bwana Yesu. Nguvu za kifo ni hizo,Ila hazina uwezo,Ndizo sasa avunjazo,Bwana […]
Aleluya! Aleluya! Aleluya! Hivi vita vimekoma,Vimeshindwa na uzima,Na asifiwe daima,Bwana Yesu. Nguvu za kifo ni hizo,Ila hazina uwezo,Ndizo sasa avunjazo,Bwana […]
Nionapo amani kama shwari,Ama nionapo shida;Kwa mambo yote umenijulisha,Ni salama rohoni mwangu. Salama rohoni,Ni salama rohoni mwangu. Ingawa shetani atanitesa,Nitajipa
Po pote mashamba yajaa,Tele nafaka pevu,Po pote yang’aa meupeBondeni na nyandani. Mwenye mavuno, wasihiUpeleke wavuni,Wakusanye mazao,Hata kazi iishe. Wapeleke uchaoni,Waende
Njoni! Njoni! Wenye dhambi,Njoni, msikawie;Yesu awangojea ndiye awapendaye;Ajuaye awezayekuwaponya ni Yeye. Ewe muhitaji uje;Anakukaribisha,Imani, kweli, na toba,Neema ya kutosha,Jua sana,