92.Nataka Nimjue Yesu
Nataka nimjue Yesu,Na nizidi kumfahamu,Nijue pendo lake, naWokovu wake kamili. Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu,Nijue pendo lake, nawokovu wake kamili. Nataka […]
Nataka nimjue Yesu,Na nizidi kumfahamu,Nijue pendo lake, naWokovu wake kamili. Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu,Nijue pendo lake, nawokovu wake kamili. Nataka […]
Twamsifu Mungu kwa Mwana wa Pendo,Aliyetufia na kupaa juu. Aleluya! Usifiwe; Aleluya! Amin.Aleluya! Usifiwe, utubariki. Twamsifu Mungu kwa Roho Mtukufu,Ametufunulia
Kumtegemea Mwokozi,Kwangu tamu kabisa;Kukubali neno lakeNina raha moyoni. Yesu,Yesu namwamini,Nimemwona thabiti;Yesu,Yesu,yu thamani,Ahadi zake kweli. Kumtegemea Mwokozi,Kwangu tamu kabisa,Kuamini damu yakeNimeoshwa
Muda mwingi nilipotea,Sikufahamu msalaba,Wala aliyenifilia,Kwa Kalvari. Rehema bure na neema,Samaha nalo nilipewa,Ndipo aliponifunguaKwa Kalvari. Kwa neno lake Bwana Mungu,Nilijiona mimi
Twendeni askari, watu wa Mungu;Yesu yuko mbele, tumwandame juu.Ametangulia Bwana vitani,Twende mbele kwani ndiye amini. Twende askari watu wa Mungu;Yesu
Mwenye dhambi huna raha,Sikiza nakusihi,Utapata msamahaKwake Yesu Mwokozi!Njoo hima, njoo hima,Naye atafurahi. Yesu anakwita sanaNaye yuko Mbinguni;Hofu ya kifo hapanaKwake
Tafuta daima utakatifu;Fanya urafiki na Wakristo tu;Nena siku zotena Bwana wako,Baraka uombe kwa kila jambo. Tafuta daima utakatifu;Uwe peke yako
Kukawa na giza dunia yote,Ni Mwanga wa ulimwengu,Ikaisha ulipokuja yote,Ni mwanga wa ulimwengu. Jua, Yesu hana mwenziwe!Nalipofuka kama wewe:Nakuombea umwone
Ujaribiwapo, sifanye dhambi,Bali uzishinde, kwa Yesu kutii.Fuliza kiume ushinde tamaa;Yesu ni Mwokozi, hukuokoa. Umwombapo yu papoAkuongeze nguvu,Atakusaidia;Yesu atakufaa. Wepushe waovu,
Sioni haya kwa BwanaKwake nitang’ara!Mti wake sitakana,Ni neno imara! Msalaba ndio asili ya mema,Nikatua mzigo hapo;Nina uzima, furaha daima,Njoni kafurahini