24.Mwokozi Moyoni Mwangu
Tangu siku hiyo aliponijia,Akae moyoni mwangu,Sina giza tena, ila mwanga piaKwa Yesu mwokozi wangu. Amani moyoni mwangu,kwa Yesu, Mwokozi wangu;Sina […]
Tangu siku hiyo aliponijia,Akae moyoni mwangu,Sina giza tena, ila mwanga piaKwa Yesu mwokozi wangu. Amani moyoni mwangu,kwa Yesu, Mwokozi wangu;Sina […]
Mteteeni Yesu,Mlio askari;Inueni beramu,Mukae tayari,Kwenda nae vitani,Sisi hatuchokiHata washindwe piaYeye amiliki. Mteteeni Yesu,Vita ni vikali;Leo siku ya Bwana,Atashinda kweli,Waume twende
Jina lake Yesu tamu;TukilisikiaHutupoza, tena hamuHutuondolea. Roho iliyoumiaKwalo hutibika,Chakula, njaani pia;Raha, tukichoka. Jina hili ni msingi,Ngao, ngome, mwamba,Kwa hili napata
Yesu kwetu ni rafiki,Hwamiwa haja pia;Tukiomba kwa BabayeMaombi asikia;Lakini twajikosesha,Twajitweka vibaya;Kwamba tulimwomba MunguDua angesikia. Una dhiki na maonjo?Una mashaka pia.Haifai
Chini ya msalabaNataka simama;Ndio mwamba safarini,Wa kivuli chema;Ni kweli kwa roho yanguNi tuo kamili,Tatua mzigo wanguWakati wa hari. Hapa ni
Baba, Mwana, Roho, Mungu mwenye enzi,Kila tukiamka tunakuabuduBaba, Mwana, Roho, Mungu wa mapenzi,Ewe Utatu, tunakusifu. Baba, Mwana, Roho, wakuaminioWanakutolea shukrani
Kwa wingi wa nyama,Na sadaka pia,Hupata wapi salama,Kwondoa hatia? Sadaka ni Yesu,Hwondoa makosa;Dhabihu mwenye jina kuu,Atanitakasa. Kwa yangu imani,Nikuweke sasaMkono
Ninaye Rafiki nayeAlinipenda mbele;Kwa kamba za pendo zakeNimefungwa milele;Aukaza moyo wangu,Uache mageule,Mimi wake, yeye wangu;Ndimi naye milele. Ninaye rafiki ndiyeAliyenifilia;Alimwaga
Yesu nakupenda, U mali yangu,Anasa za dhambi sitaki kwangu;Na Mwokozi aliyeniokoa,Sasa nakupenda, kuzidi pia. Moyo umejaa mapenzi teleKwa vile ulivyonipenda
Tumesikia mbiu:Yesu lo! aponya,Utangazeni kote,Yesu, lo! aponya.Tiini amri hiyo;Nchini na baharini,Enezeni mbiu hii;Yesu , lo! aponya. Imbeni na vitani;Yesu, lo!