87.Deni Ya Dhambi Ilimalizika
Deni yangu ya dhambi,Yesu amelipa.Kwake msalabaniNilipewa uzima. Deni ya dhambi,Msalabani,Ilimalizikia,Ni huru kabisa. Bwana Yesu asema,“Mwanangu dhaifu,Uwezo wa ushindiHupatikana kwangu.” Bwana, […]
Deni yangu ya dhambi,Yesu amelipa.Kwake msalabaniNilipewa uzima. Deni ya dhambi,Msalabani,Ilimalizikia,Ni huru kabisa. Bwana Yesu asema,“Mwanangu dhaifu,Uwezo wa ushindiHupatikana kwangu.” Bwana, […]
Maelfu na maelfuWenye nguo bora!Masafu ya waongofuWenye na bendera!Amekwisha kamiliVita vya shetaniFungueni lango hili;Njoni, ingieni! Imbeni aleluya,Zipae Mbinguni!Pigeni sana sautiKwa
1. Roho yangu hima, na taa yako Kaiwashe vyema, hapa si pako; Nguvu zote pia za duniani Hazitakudhuru ukiamini. Chorus:
Aliteswa, aliteswa,Msalabani Yesu aliteswa,Dhambi zangu ameziondoa,Mahali pangu aliumizwa. Alikufa, alikufa,Msalabani Yesu alikufa,Kwa kifo chake nakombolewa,Kwa kuwa Yesu alinifia. ’Kafufuka, ‘kafufuka,Kaburini
1. Ewe Roho wa Mbinguni Uje kwetu sasa. Ufanye makazi yako Ndani ya Kanisa. 2. Ndiwe mwanga, umulike Tupate jikana;
1. Nina haja nawe Kila saa; Hawezi mwingine Kunifaa. Chorus: Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia. 2. Nina
1. Waitwa, mwovu, na Bwana Umwendee hima sana, Usafiwe dhambi zako, Humwoni ni mwema kwako? Chorus: Unaitwa! Itika tu! Umwendee
Bwana wa mabwana,Mwenye nguvu sanaTwakusihi:Neno la mileleNa liende mbele,Waongoke teleKwa Mwokozi. TunaowaonaWanavyopatana,Kulipinga,HawataliwezaNeno, kulitweza:Huwaje! Kucheza:Na upanga? Heri wajitunzeIli wapatane,Na Mwokozi;Watafute sana,Wapate
1. Dhambi ikikulemea, Kwa Bwana rehema; Hivi sasa tegemea Neno la salama. Chorus: Tegemea, tegemea, Akwita sasa. Ni Mwokozi, ni
Ndiyo damu ya baraka ituoshayo wakosa,Kwake Bwana twaokoka, nasi twamsifu sasa;Nimestahili hukumu, siwezi kujitakasa;Nioshe katika damu, takuwa safi kabisa. Safi