25.Nimekombolewa na Yesu
1. Nimekombolewa na Yesu Aliyenirehemia; Kwa bei ya mauti yake Nimekuwa mtoto wake. Chorus: Kombolewa! Nakombolewa na damu; Kombolewa! Mimi […]
1. Nimekombolewa na Yesu Aliyenirehemia; Kwa bei ya mauti yake Nimekuwa mtoto wake. Chorus: Kombolewa! Nakombolewa na damu; Kombolewa! Mimi […]
Peleleza ndani yangu,Iwe safi nia,Kwangu kama kwako Mungu,Idhihiri pia. Peleleza moyo wanguUunifunulie,Yaliyomo ndani yanguNami niyajue. Kwanza washe zako tambi,Kumefunga giza;Nijue
Niwonapo mti boraKristo aliponifiaKwangu pato ni hasaraKiburi nakichukia. Na nisijivune, BwanaIla kwa mauti yako;Upuzi sitaki tena,Ni chini ya damu yako.
1. Twende kwa Yesu mimi nawe, Njia atwonya tuijue Imo Chuoni; na Mwenyewe, Hapa asema, Njoo! Chorus: Na furaha tutaiona,
Nipe moyo wenye sifaSio wa utumwa;Moyo ulionyunyizwaDamu ya thamani. Moyo msikizi, moyoWa kunyenyekea,Moyo utawaliwaoNa Mwokozi pia. Mwenye kutubu, mnyonge,Sadiki, amini;Kamwe,
Yote namtolea YesuNampa moyo wote,Nitampenda siku zote,Namwandama kila saa. Yote kwa Yesu,Yote kwa Yesu,Yote kwako, Ee mwokozi,Natoa sasa. Yote namtolea
Bwana Yesu atakuja, Vumilia!Omba, ukiwa na haja, Vumilia!Mbingunu Mungu aliko, Mwamini Mwokozi wako,Nawe utafika huko, Vumilia! Ikikucheka dunia, Vumilia!Mwovu atakuvizia,
1. Ni tabibu wa karibu; Tabibu wa ajabu; Na rehema za daima; Ni dawa yake njema. Chorus: Imbeni, malaika, Sifa
1. Namwandama Bwana kwa alilonena, Njia yangu huning’azia; Nikimridhisha atanidumisha Taamini nitii pia. Chorus: Amini utii, njia pweke ni hii
Huyo ndiye! anaskuka,Aliyetufilia,Wengi waliookoka,Wakimfurahia,Aleluya!Yesu aturudia. Sote tutamtazama,Amekaa kitini,Nao waliomcoma,Kumkaza mtini,Na kilio, wamuone enzini. Alama za kifo chakeHata sasa anazoNa waaminifu