4.Jina La Yesu Salamu!
Jina la Yesu, Salamu!Lisujudieni,Ninyi Mbinguni, hukumuNa enzi mpeni. Enzi na apewe kwetu,Watetea dini;Mkuzeni Bwana wenu,Na enzi mpeni. Enyi mbegu ya […]
Jina la Yesu, Salamu!Lisujudieni,Ninyi Mbinguni, hukumuNa enzi mpeni. Enzi na apewe kwetu,Watetea dini;Mkuzeni Bwana wenu,Na enzi mpeni. Enyi mbegu ya […]
Ni wako wewe, nimekujua,Na umeniambia;Lakini Bwana, nataka kwako nizidi kusongea. Bwana vuta, vuta, nije nisongee,Sana, kwako mtini.Bwana vuta, vuta, nije
1. Yesu unipendaye Kwako nakimbilia, Ni wewe utoshaye, Mwovu akinijia; Yafiche ubavuni, Mwako maisha yangu; Nifiikishe mbinguni Wokoe moyo wangu.
1. Taji mvikeni, Taji nyingi tena, Kondoo mwake kitini, Bwana wa mabwana; Name tamsifu Alikufa kwangu, Ni mfalme mtukufu, Mkuu
1. Usinipite Mwokozi, Unisikie; Unapozuru wengine, Usinipite. Chorus: Yesu, Yesu, Unisikie; Unapozuru wengine, Usinipite. 2. Kiti chako cha rehema, Nakitazama;
Sioshwi dhambi zangu,Bila damu yake Yesu.Hapendezewi Mungu,Bila damu yake Yesu. Hakuna kabisaDawa ya makosaYa kututakasa,Ila damu yake Yesu. La kunisafi
Twendeni! Haraka! Tupeleke NenoLiwe mwanga kwa nchi zilizo giza.Bwana alisema nendeni po poteKawafundisheni mataifa yote.Pelekeni Injili kwa jina la Yesu.Upesi!
1. Twende kwake, twende kwake, kwake Yesu sasa, Sasa twende kwake, kwake Yesu sasa! 2. Akwokoe, akwokoe, Bwana Yesu sasa!
Waimba, sikizeni,Malaika Mbinguni;Wimbo wa tamu sanaWa pendo zake Bwana,“Duniani salama,Kwa wakosa rehema.”Sisi sote na twimbeNao wale wajumbe;Waimba, sikizeni,Malaika mbinguni. Ndiye
Twae wangu uzima,Sadaka ya daima;Twae saa na siku,Zikutukuze huku. Twae mikono nayoIfanye upendavyo,Twae yangu miguuKwa wongozi wako tu. Twae sauti