Tenzi za Rohoni

Tenzi za Rohoni

93.Bwana Amefufuka

Bwana amefufuka, Aleluya.Twimbe na malaika, Aleluya.Sifa zetu na shangwe, Aleluya.Na zao zisitengwe, Aleluya. Ukombozi timamu, Aleluya.Umetimu kwa damu, Aleluya.Mshindi asifiwe,

Tenzi za Rohoni

63.Ndugu wa kirohoni

Ndugu wa kirohoniMliokombolewa,Tafakarini sanaYatupasayo. Wapenzi wake YesuTuliokombolewaTujitoe kabisaWengi waponywe. Siku itatimiaTutakapoulizwaWale wa nyumba zetuNa majirani Tujitoeni, ndugu,Tukahubiri Injili.Atutumie Rohokuponya wengi.

Tenzi za Rohoni

86.Damu Imebubujika

Damu Imebubujika,Ni ya Imanweli,Wakioga wenye taka,Husafiwa kweli. Ilimpa kushukuruMwivi mautini;Nami nisiye udhuru,Yanisafi ndani. Kondoo wa kuuawa,Damu ina nguvu,Wako wote kuokoa,Kwa

Tenzi za Rohoni

2.Twamsifu Mungu

Twamsifu Mungu kwa Mwana wa Pendo,Aliyetufia na kupaa juu. Aleluya! Usifiwe; Aleluya! Amin.Aleluya! Usifiwe, utubariki. Twamsifu Mungu kwa Roho Mtukufu,Ametufunulia

Scroll to Top