Tenzi za Rohoni

Tenzi za Rohoni

67.Bwana Uliyewaita

Bwana uliyewaitaWatakatifu wako,Wawe mitume, wachunga,Walishe kundi lako;wanyonge na wenye hofuWakawa mashujaa,Na wapole wa kunenaWasiwe kunyamaa. Hata leo wawatakaWatakatifu wako,Nawe wauliza

Tenzi za Rohoni

40.Nasikia Kwitwa

Nasikia kwitwaNa sauti yakoNikasafiwe kwa damuYa kwangikwa kwako. Nimesogea Mtini pako,Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako. Ni mnuonge kweli,Umenipa nguvu,Ulivyonisafi

Tenzi za Rohoni

74.Wachunga Walipolinda

Wachunga walipolindaKucha nyama zao,Malaika mtukufuAlishuka kwao. Wakacha sana wachunga,Akawatuliza,“Nawaletea habariYa kuwapendeza.” ”Mji ule wa DaudiLeo amezawaMwokozi ni Kristo Bwana,Ilivyoandikwa”. ”Huyo

Scroll to Top