Tenzi za Rohoni

Tenzi za Rohoni

6.Baba, Mwana, Roho

Baba, Mwana, Roho, Mungu mwenye enzi,Kila tukiamka tunakuabuduBaba, Mwana, Roho, Mungu wa mapenzi,Ewe Utatu, tunakusifu. Baba, Mwana, Roho, wakuaminioWanakutolea shukrani

Tenzi za Rohoni

57.Naendea Msalaba

Naendea Msalaba,Ni mnyonge na mpofu,Yapitayo naacha,Nipone Msalabani. Nakutumaini tu,Ewe Mwana wa Mungu;Nainamia kwako;Niponye, mponya wangu. Nakulilia sana:Nalemewa na dhambi;Pole Yesu

Tenzi za Rohoni

79.Msalaba Wa Aibu

Msalaba wa aibu,Ulinipa amani;Uliniondoa kifungoni,Nilimotesekea. Ee, Mwokozi wangu, YesuNitamwendea nani?Najiweka msalabani,Nikaoshwe damuni. Nakupenda Bwana Yesu,Kwa kunipenda kwako,Napendezwa nikutumikieMaisha yangu yote.

Tenzi za Rohoni

32.Yesu Awakubali

WakosaYesu awakubali,Wakosa, wahalifu,Wambieni wa mbaliHabari ya wokovu. Tangazeni kwa bidii,“Akubali wakosa!”Liwe neno dhahiri,“Akubali wakosa!” Awakubali BwanaNeno lake aminiWatu kila ainaWaje

Tenzi za Rohoni

14.Yesu kwa imani

Yesu kwa imani,Nakutumaini,Peke yako;Nisikie sasa,Na kunitakasa,Ni wako kabisaTangu leo. Nipe nguvu piaZa kusaidiaMoyo wangu;Ulikufa wewe,Wokovu nipeweNakupenda wewe,Bwana wangu. Hapa nazungukaKatika

Scroll to Top