Tenzi za Rohoni

Tenzi za Rohoni

58.Mwamba Wenye Imara

Mwamba wenye imaraKwako nitajificha!Maji hayo na damuYaliyotoka humu,Hunisafi na dhambi,Hunifanya mshindi. Kwa kazi zote pia ,Sitimizi sharia.Nijapofanya bidii,Nikilia nakudhii,Hayaishi makosa;Ndiwe

Tenzi za Rohoni

60.Waponyeni Watu

Waponyeni watu wamo kifoni,Watoeni walio shimoni;Na aangukaye mumzuie;Ya Bwana Yesu wahubirini. Walio kifoni waokoeni,Mwokozi yuko, wahubirini. Wajapokawia anangojea,Awasubiri waje tobani;Msiwadharau,

Tenzi za Rohoni

70.Yesu Atuchunga

Yesu atuchunga,Mchunga wetu,Naye atufutaMachozi yetu;Mkononi mwakeHatuna hofu,Daima twapataKwake wokovu. Yesu atuchungaTumemjua,Na sauti yakeTwaitambua;Naye akituonyaNi kwa upole,Tu kondoo zakeHata milele. Yesu

Tenzi za Rohoni

28.Anipenda ni kweli

Anipenda ni kweli;Mungu anena hili;Sisi wake watoto;kutulinda si zito. Yesu anipenda,Yesu anipenda,Kweli anipenda,Mungu amesema. Kwa kupenda akafaNiokoke na kufa;Atazidi taka,Sana

Tenzi za Rohoni

49.Nitwae Hivi Nilivyo

Nitwae hivi nilivyo,Umemwaga damu yako,Nawe ulivyoniita,Bwana Yesu,naja,naja. Hivi nilivyo;si languKujiosha roho yangu;Nisamehe dhambi zangu,Bwana Yesu,naja,naja. Hivi nilivyo; sioniKamwe furaha moyoni;Daima

Scroll to Top