44.Kukawa Na Giza Dunia Yote
The whole world was lost in the darkness of sin 1. Kukawa na giza dunia yote, Ni Mwanga wa ulimwengu, […]
The whole world was lost in the darkness of sin 1. Kukawa na giza dunia yote, Ni Mwanga wa ulimwengu, […]
Take time to be holy 1. Tafuta daima utakatifu; Fanya urafiki na Wakristo tu; Nena siku zotena Bwana wako, Baraka
Come, ye sinners, poor and wreched 1. Mwenye dhambi huna raha, Sikiza nakusihi, Utapata msamaha Kwake Yesu Mwokozi! Njoo hima,
1. Njoni! Njoni! Wenye dhambi, Njoni, msikawie; Yesu awangojea ndiye awapendaye; Ajuaye awezaye Kuwaponya ni Yeye. 2. Ewe muhitaji uje;
Far and near the fields 1. Po pote mashamba yajaa, Tele nafaka pevu, Po pote yang’aa meupe Bondeni na nyandani.
When peace like a river 1. Nionapo amani kama shwari, Ama nionapo shida; Kwa mambo yote umenijulisha, Ni salama rohoni
The strife is over Chorus Aleluya! Aleluya! Aleluya! 1. Hivi vita vimekoma, Vimeshindwa na uzima, Na asifiwe daima, Bwana Yesu.
At the Cross 1. Sioni haya kwa Bwana Kwake nitang’ara! Mti wake sitakana Ni neno imara! Chorus Msalaba ndio asili