66.Po Pote Mashamba Yajaa
Po pote mashamba yajaa,Tele nafaka pevu,Po pote yang’aa meupeBondeni na nyandani. Mwenye mavuno, wasihiUpeleke wavuni,Wakusanye mazao,Hata kazi iishe. Wapeleke uchaoni,Waende […]
Po pote mashamba yajaa,Tele nafaka pevu,Po pote yang’aa meupeBondeni na nyandani. Mwenye mavuno, wasihiUpeleke wavuni,Wakusanye mazao,Hata kazi iishe. Wapeleke uchaoni,Waende […]
Nionapo amani kama shwari,Ama nionapo shida;Kwa mambo yote umenijulisha,Ni salama rohoni mwangu. Salama rohoni,Ni salama rohoni mwangu. Ingawa shetani atanitesa,Nitajipa
Aleluya! Aleluya! Aleluya! Hivi vita vimekoma,Vimeshindwa na uzima,Na asifiwe daima,Bwana Yesu. Nguvu za kifo ni hizo,Ila hazina uwezo,Ndizo sasa avunjazo,Bwana
Sioni haya kwa BwanaKwake nitang’ara!Mti wake sitakana,Ni neno imara! Msalaba ndio asili ya mema,Nikatua mzigo hapo;Nina uzima, furaha daima,Njoni kafurahini