Tenzi za Rohoni

Tenzi za Rohoni

16.Kumtegemea Mwokozi

Kumtegemea Mwokozi,Kwangu tamu kabisa;Kukubali neno lakeNina raha moyoni. Yesu,Yesu namwamini,Nimemwona thabiti;Yesu,Yesu,yu thamani,Ahadi zake kweli. Kumtegemea Mwokozi,Kwangu tamu kabisa,Kuamini damu yakeNimeoshwa […]

Tenzi za Rohoni

89.Kwa Kalvari

Muda mwingi nilipotea,Sikufahamu msalaba,Wala aliyenifilia,Kwa Kalvari. Rehema bure na neema,Samaha nalo nilipewa,Ndipo aliponifunguaKwa Kalvari. Kwa neno lake Bwana Mungu,Nilijiona mimi

Tenzi za Rohoni

2.Twamsifu Mungu

Twamsifu Mungu kwa Mwana wa Pendo,Aliyetufia na kupaa juu. Aleluya! Usifiwe; Aleluya! Amin.Aleluya! Usifiwe, utubariki. Twamsifu Mungu kwa Roho Mtukufu,Ametufunulia

Tenzi za Rohoni

34.Njoni Wenye Dhambi

Njoni! Njoni! Wenye dhambi,Njoni, msikawie;Yesu awangojea ndiye awapendaye;Ajuaye awezayekuwaponya ni Yeye. Ewe muhitaji uje;Anakukaribisha,Imani, kweli, na toba,Neema ya kutosha,Jua sana,

Scroll to Top