Tenzi za Rohoni

Tenzi za Rohoni

97.Tazameni Huyo Ndiye

Tazameni huyo ndiye,Mwenye kushinda vita;Haya, tumsujudie;Nyara anazileta;Watu wote msifuni,Sasa yumo kitini. Msifuni malaika,Mtukuzeni sana,Wote waliookokaWatamsifu Bwana;Watu wote msifuni,Sasa yumo kitini.

Tenzi za Rohoni

65.Safari

1. Katika safari yetu Kwenda Mbinguni Tusiishe siku zetu Usingizini. Chorus Ng’oani! Tujifungeni, Twende zetu juu! Kristo ndiye kiongozi; Tusihofu

Tenzi za Rohoni

1.Mwokozi Umeokoa

Mwokozi umeokoa,Nimekuwa wako wewe.Damu imenisafisha;Sifa kwa mwana Kondoo. Utukufu, Aleluya!Sifa kwa Mwana Kondoo!Damu imenisafisha,Utukufu kwa Yesu! Nilijitahidi sanaIla sikupata raha;Bali

Tenzi za Rohoni

22.Kale nilitembea

Kale nilitembeaNikilemewa dhambiNilikosa msaada,kuniponya mateso. Usifiwe Msalaba!Lisifiwe kaburi!Linalozidi yote,Asifiwe Mwokozi! Hata nilipofika,Mahali pa Msalaba,Palinifaa sana,Sitasahau kamwe. Hicho ndicho chanzo,Cha kufurahi

Scroll to Top