115. Kilima Kando ya Mji
There is a green hill far away 1. Kilima kando ya mji Alikufa Bwana, Kuokoa wakosaji Akateswa sana. 2. Kabisa […]
There is a green hill far away 1. Kilima kando ya mji Alikufa Bwana, Kuokoa wakosaji Akateswa sana. 2. Kabisa […]
For Weddings: Heavenly Father hear our prayer (adapted) 1. Ewe, Baba wa Mbinguni, Usikie twombalo Hapa chini duniani, Na uwe
Not all the blood of beasts 1. Si damu ya nyama Iliyomwagika Iwezayo kuondoa Dhambi za wakosa. 2. Yeye Bwana
1. Bwana Yesu, Bwana Yesu, Mbona unaumia? Unateseka sana Kwa ajili ya kuomba, Waomba na jasho jingi likageuka damu Chorus
When the storms of life are raging 1. Tufani inapovuma Sana moyoni mwangu, Huona pa kujificha Mkononi mwa Mungu. Chorus
My God, I am Thine 1. Ni wako Mungu! Ni furaha kwangu, Ni raha kumjua Mwokozi wangu. Chorus Aleluya enzi
Oh, how He loves 1. Mmoja apita wote Atupenda; Zaidi ya ndugu wote, Atupenda; Rafiki wa duniani Wote hatuwaamini; Yesu
The King of love my Shepherd is 1. Ni Mfalme wa mapenzi Ndiye anichungaye, Sipungukiwi, hawezi Kunipoteza Yeye. 2. Kando
Hark the sound of holy voices 1. Sauti sikilizeni Za waimbao juu “Aleluya, Aleluya, Aleluya, Mkuu!” Wako makundi-makundi Kama nyota
How Great thou Art 1. Bwana Mungu nashangaa kabisa Nikitazama kama vilivyo Nyota, ngurumo, vitu vingi vyote Viumbavyo kwa uwezo