36.Anisikiaye, Aliye Yote
1. Anisikiaye, aliye yote; Sasa litangae, wajue wote, Duniani kote neno wapate, Atakaye na aje! Chorus: Ni “Atakaye” ni “Atakaye” […]
1. Anisikiaye, aliye yote; Sasa litangae, wajue wote, Duniani kote neno wapate, Atakaye na aje! Chorus: Ni “Atakaye” ni “Atakaye” […]
1. Nasikia kwitwa Na sauti yako Nikasafiwe kwa damu Ya kwangikwa kwako. 2. Nimesogea Mtini pako, Unisafi kwa damu ya
1. Jina lake Yesu tamu; Tukilisikia Hutupoza, tena hamu Hutuondolea. 2. Roho iliyoumia Kwalo hutibika, Chakula, njaani pia; Raha, tukichoka.
1. Nilikuwa kondoo aliyepotea, Sikupenda zizi kamwe, ila kutembea Nilikuwa mwana asiyesikia, Sikupenda baba yangu wala kutulia. 2. Na mchunga
Mle kaburini, Yesu Mwokozi!Alilazwa chini, Bwana wangu! Bwana! Amefufuka,Kifo kimeshindwa kabisa!Gizani mle alitoka chini,Sasa atawala huko Mbinguni!Yu hai! Yu hai!Bwana
1. Yesu aliniita, “njoo, Raha iko kwangu, Kichwa chako ukilaze Kifuani mwangu.” 2. Nilikwenda kwake mara, Sana nilichoka; Nikapata kwake
Bwana amefufuka, Aleluya.Twimbe na malaika, Aleluya.Sifa zetu na shangwe, Aleluya.Na zao zisitengwe, Aleluya. Ukombozi timamu, Aleluya.Umetimu kwa damu, Aleluya.Mshindi asifiwe,
Ndugu wa kirohoniMliokombolewa,Tafakarini sanaYatupasayo. Wapenzi wake YesuTuliokombolewaTujitoe kabisaWengi waponywe. Siku itatimiaTutakapoulizwaWale wa nyumba zetuNa majirani Tujitoeni, ndugu,Tukahubiri Injili.Atutumie Rohokuponya wengi.
Twamsifu Mungu kwa Mwana wa Pendo,Aliyetufia na kupaa juu. Aleluya! Usifiwe; Aleluya! Amin.Aleluya! Usifiwe, utubariki. Twamsifu Mungu kwa Roho Mtukufu,Ametufunulia
Jina la Yesu, Salamu!Lisujudieni,Ninyi Mbinguni, hukumuNa enzi mpeni. Enzi na apewe kwetu,Watetea dini;Mkuzeni Bwana wenu,Na enzi mpeni. Enyi mbegu ya