14.Yesu kwa imani
1. Yesu kwa imani, Nakutumaini, Peke yako; Nisikie sasa, Na kunitakasa, Ni wako kabisa Tangu leo. 2. Nipe nguvu pia […]
1. Yesu kwa imani, Nakutumaini, Peke yako; Nisikie sasa, Na kunitakasa, Ni wako kabisa Tangu leo. 2. Nipe nguvu pia […]
1. Yesu Akwita, Akwita wewe, Uje leo, uje leo, Kwani kusita, akwita wewe, Unatanga upeo. Chorus: Msiskie, msikie, Yesu akwita,
1. Ila damu yake Bwana, Sina wema wa kutosha Dhambi zangu kuziosha; Chorus: Kwake Yesu nasimama, Ndiye mwamba: ni salama
Wamwendea Yesu kwa kusafiwa,Na kuoshwa kwa damu ya kondoo?Je neema yake umemwagiwa,Tumeoshwa kwa damu ya kondoo? Kuoshwa, kwa damu,Itutakasayo ya
1. Akifa Yesu nikafa naye Uzima upya huishi naye; Humtazama mpaka nje: Nyakati zote ni wake yeye. Chorus: Nyakati zote
1. Ndiyo dhamana, Yesu wangu; Hunipa furaha za Mbingu; Mrithi wa wokovu wake Nimezawa kwa Roho yake. Chorus: Habari njema,
1. Msingi imara, enyi wa kweli, Umekwisha pigwa kwa neno hili; Aongeze lipi? Mnayo pia Kwa Yesu mliomkimbilia. 2. Wambiwapo
1. Anisikiaye, aliye yote; Sasa litangae, wajue wote, Duniani kote neno wapate, Atakaye na aje! Chorus: Ni “Atakaye” ni “Atakaye”
Ni “Mtu wa Simanzi”,Mwana wa mwenye enziMwenye mengi mapenzi!Asifiwe Bwana Yesu! Akawa matesoni,“Mungu mwana yakiniAkatoka Mbinguni:Asifiwe Bwana Yesu! Akapata dhihaka,Mzoea
1. Mungu ni pendo, apenda watu; Mungu ni pendo, anipenda Chorus: Sikilizeni furaha yangu, Mungu ni pendo, anipenda. 2. Nilipotea