49.Nitwae Hivi Nilivyo
Just as I am without one plea 1. Nitwae hivi nilivyo, Umemwaga damu yako, Nawe ulivyoniita, Bwana Yesu, naja, naja. […]
Just as I am without one plea 1. Nitwae hivi nilivyo, Umemwaga damu yako, Nawe ulivyoniita, Bwana Yesu, naja, naja. […]
I am so glad tha our Father in heaven 1. Baba yetu aliye Mbinguni Amenifurahisha yakini Kuniambia mwake chuoni Ya
Holy holy holy, Lord God Almighty 1. Baba, Mwana, Roho, Mungu mwenye enzi, Kila tukiamka tunakuabudu Baba, Mwana, Roho, Mungu
I am coming to the cross 1. Naendea Msalaba, Ni mnyonge na mpofu, Yapitayo naacha, Nipone Msalabani. Chorus. Nakutumaini tu,
The Cross of Shame 1. Msalaba wa aibu, Ulinipa amani, Uliniondoa kifungoni, Nilimotesekea. 2. Ee, Mwokozi wangu, Yesu, Nitamwendea nani?
Lord Jesus, I long to be perfectly whole 1. Yesu nataka kutakaswa sana, Nataka moyo uwe enzi yako. Ukiangushe kilichoinuka
I lay my sins on Jesus 1. Naweka dhambi zangu Juu yake Bwana, Kuziondoa, kwangu Hulemea sana; Na uaili wangu
In the shadow of His wing. 1. Kivulini mwa Yesu kuna Kituo: Kituo mbali na hamu, kituo kilicho tamu. Chorus:
Jesus is tenderly calling today 1. Yesu Akwita, chanena chuo; Uje leo, uje leo, Kwani kusita, akwita, njoo; Unatanga upeo.
Thou who didst call Thy saints of old 1. Bwana uliyewaita Watakatifu wako, Wawe mitume, wachunga, Walishe kundi lako; Wanyonge