72.Twendeni! Haraka!

Speed away! Speed away!

1.
Twendeni! Haraka! Tupeleke Neno
Liwe mwanga kwa nchi zilizo giza,
Bwana alisema nendeni po pote
Kawafundisheni mataifa yote.
Pelekeni Injili kwa Jina la Yesu
Upesi! Twendeni haraka!

2.
Twendeni! Haraka! Tupeleke Neno
La upendo wa Mungu kwa watu wote;
Aliyeupenda sana ulimwengu
Akamtoa Yesu Mwana wake pekee.
Kaleta wokovu, tumtangazeni
Upesi! Twendeni haraka!

3.
Twendeni! Haraka! Tupeleke Neno
La uzima kwa watu waliokufa,
Mitego ya Shetani itafungua
Litaponya na kuwapa amani.
Twendeni upesi, tuwaokoe
Upesi! Twendeni haraka!

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top