51.Mungu Twatoa ShukraniBy Admin-pIsKz / July 15, 2025 Father, we thank Thee 1. Mungu twatoa shukrani, Kwa kutulinda usikuni, Na kutuangalia mchana, Kutuongoza kila mara.