Tenzi za Rohoni

65.Safari

1. Katika safari yetu Kwenda Mbinguni Tusiishe siku zetu Usingizini. Chorus Ng’oani! Tujifungeni, Twende zetu juu! Kristo ndiye kiongozi; Tusihofu

Tenzi za Rohoni

97.Tazameni Huyo Ndiye

Tazameni huyo ndiye,Mwenye kushinda vita;Haya, tumsujudie;Nyara anazileta;Watu wote msifuni,Sasa yumo kitini. Msifuni malaika,Mtukuzeni sana,Wote waliookokaWatamsifu Bwana;Watu wote msifuni,Sasa yumo kitini.

Tenzi za Rohoni

58.Mwamba Wenye Imara

Mwamba wenye imaraKwako nitajificha!Maji hayo na damuYaliyotoka humu,Hunisafi na dhambi,Hunifanya mshindi. Kwa kazi zote pia ,Sitimizi sharia.Nijapofanya bidii,Nikilia nakudhii,Hayaishi makosa;Ndiwe

Scroll to Top